Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

Kanda ya video imewaonyesha wanaume wawili wakimvamia Vuyo Mvoko, kutoka yuninga ya taifa ya SABC ambaye alikuwa nje ya hospitali moja ya mjini Johannesburg akiripoti kuwasili kwa rais wa Zambia ili kufanyiwa ukaguzi wa matibabu. Bwana Mvoko baadaye alisema...

Read more

Watu 40 wamefariki katika eneo la Changarawe, Mafinga mkoani Iringa,nyanda za juu kusini mwa Tanzania, baada ya basi la kampuni ya Majinja Express walilokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na Lori.Miili ya waliofariki katika ajali hiyo imepelekwa hospitali...

Read more

Habari kutoka mafinga mkoani iringa zinaeleza kuwa idadi ya watuambao hawajafahamika waliokuwa katika basi lamajinja namba T438CDE linalofanya safari zake katiya mbeya na Dar wamefariki dunia baada ya basihilo kuangukiwa na kontena.Aidha kamanda wa Polisi...

Read more

Real Madrid imenufanika na matokeo ya mechi ya mkondo wa kwanza ambapo iliwalaza Schalke 04 kwa jumla ya magoli 2- 0 na hivyo kusonga mbele kwa ushindi wa jumla ya magoli 5 - 4. Hapo jana Mshambuliaji wa Real Madrid Christiano Ronaldo alivunja rekodi...

Read more

Kwa mujibu wa Katibu wa Itakadi na Uenezi wa Chama tawala cha Tanzania chama cha Mapinduzi Nape Nnauye Mbunge huyo ambaye alikuwa maarufu kwa utunzi na uimbaji wa nyimbo za kampeni za chama hicho kifo cha chake kimetokea siku ya jumamosi majira ya jioni....

Read more

Suarez aliwashangaza mashabiki wa Man City baada kupachika wavuni mabao yote mawili na hivyo kuwaonyesha ni moto wa kuotea mbali anapofika kwenye kisanduku cha kumi nane. Goli pekee la kufutia machozi la Manchester City lilitiwa kimiani na mshambuliaji...

Read more
1 2 > >>